Msaada tatizo sugu la mba wa kichwani

diuretic

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
242
192
Habari za sikukuu wanajamvi najua wote n wazima
Nina tatizo sugu la mba wa kichwani nimutumia mafuta na dawa mbalimbali lakini napata nafuu ya mda tu halafu tatizo linarejea msaada tafadhali kwa anayejua tiba nzuri
 

kizaizai

JF-Expert Member
Mar 31, 2010
4,672
5,184
Tumia hizo dawa unazotumia lakini hakikisha unanyoa nywele zote na kubaki kipara angalau mwaka mzima.
 

From Sir With Love

JF-Expert Member
Sep 13, 2010
2,077
3,754
Mimi sio daktari natoa maoni yangu tu. Kama unatumia dawa na mba zinarudi basi jua kuna kitu kinachochea hiyo hali. hakikisha hutumii kitana na mtu mwingine. Hakikisha taulo au kitambaa unachojifuta nacho hatumii na mtu mwingine. Badili mafuta ya nywele labda utaona utofauti. Tumia dawa ya griseofalvin (spelling) at least kwa mwezi mmoja. kila siku kidonge kimoja. usikose kumeza kwa wakati. Kama mdau alivyosema hapo juu nyoa nywele zako au punguza kabisa ili unapomeza dawa uwe unapaka antifungal cream.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom