Babarazack
Senior Member
- Sep 9, 2015
- 132
- 156
Jaman cm yangu inatabia ya kujirudia sms endapo nikiizima na kuiwasha,namaanisha sms ambazo tayari nimeshazisoma nikiwasha cm tu zinaingia as a new sms
km ni android
ingia setting>apps>messages then clear cache & data