Msaada Tatizo la macho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada Tatizo la macho

Discussion in 'JF Doctor' started by olele, Oct 21, 2011.

 1. olele

  olele JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 814
  Likes Received: 339
  Trophy Points: 80
  Salam wakuu, nianze kwa kuwashukuru wataalamu wote wanaochangia humu jamvini, tatizo langu ni hili, kpnd cha kma miezi 2 niltumia mashne mja hv yenye mwnga mkali ss hv macho yangu yanauma nikiona mwanga au kitu cheupe, au nikitumia comp au tv.
  Je ni tatzo la muda tu au ni la kudum? Na je suluhsho nn? Naweza kuepuka kuvaa mawani? Naombeni msaada kwa maana ishu za macho ni nyeti..
   
 2. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  [TABLE="width: 100%"]
  [TR]
  [TD]
  Pole kwa hayo matatizo ya Macho. Jaribu dawa yangu hii
  Pakaa mafuta ya Habbat-Sawdaa (Nigella seed oil) sehemu za panda kandokando ya macho na kope, fanya hivyo kabla ya kulala pamoja na kunywa matone kadhaa ya mafuta hayo ya Habbat-Sawdaa (Nigella seed oil) katika kinywaji chochote cha moto au katika juisi ya karoti Ishallah utapona.  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 3. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #3
  Oct 21, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Pole mgonjwa ! Najua utapona
   
 4. olele

  olele JF-Expert Member

  #4
  Oct 21, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 814
  Likes Received: 339
  Trophy Points: 80
  ahsante sana feis buku,
   
 5. fxb

  fxb Senior Member

  #5
  Oct 21, 2011
  Joined: Jun 22, 2011
  Messages: 124
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Pamoja na kukupa pole na kutumia habbat swauda nakushauri kapime macho yako sijui uko wapi kama ni kule DSM CCBRT waweza kugundua kama ni temporary or parmanent disorder na kama ulivyosema macho ni ishu nyeti ....utakuo husomi pole za feis buku oohooo
   
 6. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #6
  Oct 21, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  yanapatikana wapi hayo mafuta?
   
 7. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #7
  Oct 21, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Tatizo lako linaweza kuwa linatokana na kazi yako. Kwa sasa wakati unatafuta matibabu,jaribu kuepuka huo mwanga.kama ni lazima,basi hakikisha unatumia kinga ya macho tahadhari:sio miwano za jua.kuna maduka maalum wanauza kama 'safety gears',chukua 'welding goggles'.jioni kabla ya kulala hakikisha una-flush macho yako kwa maji mengi. Kwa msaada wa haki yako juu ya hili unaweza kuni-pm tuone cha kufanya
   
 8. olele

  olele JF-Expert Member

  #8
  Oct 21, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 814
  Likes Received: 339
  Trophy Points: 80
  uko ryt kabsa ila nko moro, kwani siwezi kugundua hlo tatzo mpaka ccbrt, a mean kwnye hosp nyngne.
  Coz clnic za mcho nyngi tu bt naona kma ni wauza miwani tu.
  ,
   
 9. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #9
  Oct 21, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  Kaulizie Maduka ya Dawa za Kiarabu kama wewe upo Dar, kaulizie hayo Maduka kariakoo kwenye maduka ya wauza Madawa wakipemba au waaarabu watakupa hayo mafuta ya Habbat-sawdaa.
   
 10. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #10
  Oct 22, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Hayo mafuta inaonyesha ni kiboko ya njia.. Yana kazi nyingine tofauti na macho ama....?
   
Loading...