Leembaswagger
Senior Member
- Aug 1, 2012
- 100
- 34
Habari za jioni wanajukwaa,laptop yangu aina ya dell inspiron n5040 hivi karibuni imeanza tabia ya kujizima ninapokuwa naitumia.
Huwa kama inataka kustack then inazimika,ikishazima nikijaribu kuiwasha kwa muda huohuo huwa inaniambia "your PC run into problems,preparing automatic repair".
Mara ya kwanza nilijua ni tatizo la operating system nikaibadilisha ( mwanzoni ilikuwa windows 7 professionalsasa hivi nimeweka windows 8 professional ) ila tatizo likajirudia,pia nilishauriwa kuwa huenda computer inaoverheat nikainunulia cooler pad ambayo inaipoza vizuri ila bado tatizo linaendelea.
Angalia attachments kuona aina ya computer na nameplate yake.
Naombeni ushauri au utatuzi wa tatizo hili....