Msaada tatizo la kutuma sms kwenye tecno p5

mobakha

Member
Mar 7, 2014
99
18
naomba msaada simu yangu ukitumq sms mara moja zinaendelea kuingia zaid ya mara moja. nimejaribu kuristore lakin tatizo likawa lile lile. nifanyeje wadau nisaidieni please
 
i know but i can't endure it@dul apo umeongea la nssna mtu wangu@man
 
Back
Top Bottom