Nenda control panel, kisha system and security kisha administrative tools kisha click disk clean up tools. Itafunguka windows ndogo ya disk clean up, shuka chini kidogo upande wa kushoto chini click tab ya clean up system files. Baada ya hapo kuna processing windows ndogo itacalculate availabe space ikimaliza itafungua tena windows ndogo ya disk clean up. Ziwekee tick zote kisha angalia disk space inaonyesha ni ngapi, baada ya hapo bonyeza ok na itatokea windows ndogo nyingine bonyeza delete files. Kisha iache mpaka imalize.Mkuu nikichezi Folder lenye GB nyingi ni 31.3GB out of 98GB hizi Takriban 67GB zimejificha Wapi?
Wakuu niliomba Msaada wa Hili Tatizo lakini sikupata Msaada wengi wamejikita kwenye Ukisiaji na Ku google Kitu ambacho Mimi hakinishindi
Naomba Mwenye Njia sahihi ya Kurekebisha hili Tatizo anisaidie kila nikifuta Vitu inajijaza Yenyewe nahitaji Techniques Mpya za Kudhibiti Hii Kadhia
View attachment 554749
Huyo ni virus. Boot toka kwenye bootable CD au Flash Disk then clean virus kwenye hard drive C then tatizo litakuwa limeisha. Kama huna bootable disk then download Hiren bootableWakuu niliomba Msaada wa Hili Tatizo lakini sikupata Msaada wengi wamejikita kwenye Ukisiaji na Ku google Kitu ambacho Mimi hakinishindi
Naomba Mwenye Njia sahihi ya Kurekebisha hili Tatizo anisaidie kila nikifuta Vitu inajijaza Yenyewe nahitaji Techniques Mpya za Kudhibiti Hii Kadhia
View attachment 554749
Kumbe siyo rahisi...Ingekua rahisi Sana kama ndo hivi