Nyankuru
Member
- Mar 18, 2016
- 26
- 8
Habarini wana Jamiiforum!
Ningependa kufafanua moja kwa moja tatizo lenyewe!;
Nimekuwa na tatizo la kutohisi Chochote wakati wa kujamiiana!..hamu ya kufanya inakuwepo, uume inasimama vizuri!
Kimbembe ni muda wote wa kujamiiana hakuna Raha yoyote nayoipata isipokuwa mwishoni muda wa kupiga bao!
Msaada Kama kuna mtu amewahi kutana na kesi kama hii!