Msaada: Tatizo la fangasi za mdomoni

Msaada: Tatizo la fangasi za mdomoni

RTI

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2018
Posts
2,422
Reaction score
7,174
Kuna rafiki yangu ana tatizo la fangasi za mdomoni miaka miwili sasa amejaribu kutumia dawa za madukani lakini haziishi.

Ameshatumia dozi zaidi ya nne lakini wapi.

WanaJF tusaidiane labda kuna njia nyingine za asili za kukabiliana na tatizo hilo? Maana linamsumbua sana.
 
Akiufanya jojo mmea huu mala tatu kwa siku na kuchemsha na kunywa mala tatu kwa siku ndani ya week moja lazima apone.
Ni mmea gani huu?
 
Sitosahau bidada mmoja hivi nilimpigia round sana siku nimemnasa nikazama chumvini ili wote tuende droo nahapo nikaambulia fungus niliiwahi wiki hiyohiyo kwa dawa ya vidonge na yakupaka nikapona sitorudia tena!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom