T-future
JF-Expert Member
- Nov 4, 2017
- 544
- 284
wakuu habari zenu,,
Natumia TECNO toleo la zamani kidogo (TECNO N8), tatizo lake kwenye Camera ni pale ninapotaka kupiga picha ID ,mfano voters ID, NIDA, Driving Licences n.k kwa ajili ya usajili, ku scan bar code, au subscription yeyote inayohitaji caption ya ID card kwenye app.
Camera inakuwa kama Ina blur (ukungu)
So system can't read the ID card,
Picha inapiga fresh tu, but only that blur wakati wa kuscan bar code au usajili.
Help help wajuvi. Natanguliza shukrani. Asanteni.