wakuu kuna jamaa yangu kapigiwa simu na hao jamaa wakidai watampa kazi ila atume laki moja kwenye namba ya simu alafu watamtumia scanned receipts na kumfanyia interview..sasa wanajamvi huu si utapeli au kama mtu anazo taarifa zao atupe tusije tukaendelea kunyonywa na mabepari matapeli.

asije akathubutu kufanya hivyo, kwani tuliolizwa tunaujua uchungu wake, nammi niliwah kutuma hela brac kipindi fulani walitoa nafasi za kazi kumbe ni matapeli, so mwambie wala asihangaike interview haina malipo yeyote