Nduhu tabu
Member
- Jul 21, 2017
- 90
- 94
Cheki system yake ya saa
1. Ondoa auto update
2. weka 12 hourly mode badala ya 24
Inaelekea mtetea wake anakuwa karibu hivyo ni lazima awikeMimi ni mjasiliamali najihusisha na ufugaji wa kuku wa kienyeji na sasa ni mwaka wa nne. Tangu juzi kuna jogoo anawika kila ikifika saa mbili na nusu usiku (2:30). Kwa uzoefu wangu wa miaka minne tangu nianze kufuga kuku hii siyo kawaida kabisa.
Naombeni mwenye kujua lolote juu ya hili tuongee hapa. Huyu kuku atakuwa amepatwa na nini.?
InawezeKana dalili ya ugonjwa hiyo..Nenda unaponunuaga dawa za kuku wako wakupe ushauri..wale wauza dawa za mifugo ni wataalamu watakusaidia..aidha hili sio jukwaa sahihi tuma jukwaa sahihi huku jamaa watakuchanganya tuMimi ni mjasiliamali najihusisha na ufugaji wa kuku wa kienyeji na sasa ni mwaka wa nne. Tangu juzi kuna jogoo anawika kila ikifika saa mbili na nusu usiku (2:30). Kwa uzoefu wangu wa miaka minne tangu nianze kufuga kuku hii siyo kawaida kabisa.
Naombeni mwenye kujua lolote juu ya hili tuongee hapa. Huyu kuku atakuwa amepatwa na nini.?
Hahahaa, very interestingCheki system yake ya saa
1. Ondoa auto update
2. weka 12 hourly mode badala ya 24
mh!?Huyo jogoo atakuwa amepotea majira, majogoo huwika kwa kufuatana yani mmoja akiwika ndio wengine wanafuata. Iliwahi kutokea hapa home tulikuwa tunasikiliza mchezo wa redio 'RTD' unaitwa Twende na Wakati alafu kuna jogoo aliwika kwenye redio basi na jogoo wa hapa home akapokea na akawa anawika ifikapo majira yale ya mchezo wa redio..
Kitu cha kufanya ni kutafuta jogoo mwingine ili atakapowika waende sawa... ha ha ha haaaaa, gari mbovu huvutwa na nzima
hahahaahali ya hewa inamchanganya haya mawingu sio mazuri kabisa halafu ukute jogoo mwenyewe bashite hata approximations hajui
MKUU MIMI HUYO JOGOO ANIHUSU ILA KINACHONICHEKESHA NI HIYO AVATAR YAKO...aisee
Afu kama anazingua sana mchinje siku hizi mboga tabu mno
Huenda kaangusha saa yake sasa awika kwa kukisia mtafutie nyingine.Mimi ni mjasiliamali najihusisha na ufugaji wa kuku wa kienyeji na sasa ni mwaka wa nne. Tangu juzi kuna jogoo anawika kila ikifika saa mbili na nusu usiku (2:30). Kwa uzoefu wangu wa miaka minne tangu nianze kufuga kuku hii siyo kawaida kabisa.
Naombeni mwenye kujua lolote juu ya hili tuongee hapa. Huyu kuku atakuwa amepatwa na nini.?
Kwahiyo wewe unafugia kuku sebuleni? Au mabanda ya kuku yapo unapolala na kusikilizia radio? Maana kama mjasiriamali unatakiwa kuwa na kuku wengi so lazima wajengewe sehemu tofauti mbali kidogo na unapolala.Huyo jogoo atakuwa amepotea majira, majogoo huwika kwa kufuatana yani mmoja akiwika ndio wengine wanafuata. Iliwahi kutokea hapa home tulikuwa tunasikiliza mchezo wa redio 'RTD' unaitwa Twende na Wakati alafu kuna jogoo aliwika kwenye redio basi na jogoo wa hapa home akapokea na akawa anawika ifikapo majira yale ya mchezo wa redio..
Kitu cha kufanya ni kutafuta jogoo mwingine ili atakapowika waende sawa... ha ha ha haaaaa, gari mbovu huvutwa na nzima