Msaada: Tangu juzi kuna jogoo anawika kila ikifika saa mbili na nusu usiku (2:30)

Nduhu tabu

Member
Jul 21, 2017
90
94
Mimi ni mjasiliamali najihusisha na ufugaji wa kuku wa kienyeji na sasa ni mwaka wa nne. Tangu juzi kuna jogoo anawika kila ikifika saa mbili na nusu usiku (2:30). Kwa uzoefu wangu wa miaka minne tangu nianze kufuga kuku hii siyo kawaida kabisa.
Naombeni mwenye kujua lolote juu ya hili tuongee hapa. Huyu kuku atakuwa amepatwa na nini.?

e655ae803d668d5ef5b09cbf06602f16.jpg
 
Huyo jogoo atakuwa amepotea majira, majogoo huwika kwa kufuatana yani mmoja akiwika ndio wengine wanafuata. Iliwahi kutokea hapa home tulikuwa tunasikiliza mchezo wa redio 'RTD' unaitwa Twende na Wakati alafu kuna jogoo aliwika kwenye redio basi na jogoo wa hapa home akapokea na akawa anawika ifikapo majira yale ya mchezo wa redio..
Kitu cha kufanya ni kutafuta jogoo mwingine ili atakapowika waende sawa... ha ha ha haaaaa, gari mbovu huvutwa na nzima
 
Inaelekea mtetea wake anakuwa karibu hivyo ni lazima awike
 
Mimi ni mjasiliamali najihusisha na ufugaji wa kuku wa kienyeji na sasa ni mwaka wa nne. Tangu juzi kuna jogoo anawika kila ikifika saa mbili na nusu usiku (2:30). Kwa uzoefu wangu wa miaka minne tangu nianze kufuga kuku hii siyo kawaida kabisa.
Naombeni mwenye kujua lolote juu ya hili tuongee hapa. Huyu kuku atakuwa amepatwa na nini.?

e655ae803d668d5ef5b09cbf06602f16.jpg
InawezeKana dalili ya ugonjwa hiyo..Nenda unaponunuaga dawa za kuku wako wakupe ushauri..wale wauza dawa za mifugo ni wataalamu watakusaidia..aidha hili sio jukwaa sahihi tuma jukwaa sahihi huku jamaa watakuchanganya tu
 
Huyo jogoo atakuwa amepotea majira, majogoo huwika kwa kufuatana yani mmoja akiwika ndio wengine wanafuata. Iliwahi kutokea hapa home tulikuwa tunasikiliza mchezo wa redio 'RTD' unaitwa Twende na Wakati alafu kuna jogoo aliwika kwenye redio basi na jogoo wa hapa home akapokea na akawa anawika ifikapo majira yale ya mchezo wa redio..
Kitu cha kufanya ni kutafuta jogoo mwingine ili atakapowika waende sawa... ha ha ha haaaaa, gari mbovu huvutwa na nzima
mh!?
 
Mimi ni mjasiliamali najihusisha na ufugaji wa kuku wa kienyeji na sasa ni mwaka wa nne. Tangu juzi kuna jogoo anawika kila ikifika saa mbili na nusu usiku (2:30). Kwa uzoefu wangu wa miaka minne tangu nianze kufuga kuku hii siyo kawaida kabisa.
Naombeni mwenye kujua lolote juu ya hili tuongee hapa. Huyu kuku atakuwa amepatwa na nini.?

e655ae803d668d5ef5b09cbf06602f16.jpg
Huenda kaangusha saa yake sasa awika kwa kukisia mtafutie nyingine.
 
Bora huyo anawika saa 2:30
Nlikua na jojoo anawika muda wote, yani akikurupuka tu anawika na sio mara moja, ana kelele balaa, sa tatu, nne, tano, saba, ye anawika tu nikaona isiwe shida!!!!
 
Huyo jogoo atakuwa amepotea majira, majogoo huwika kwa kufuatana yani mmoja akiwika ndio wengine wanafuata. Iliwahi kutokea hapa home tulikuwa tunasikiliza mchezo wa redio 'RTD' unaitwa Twende na Wakati alafu kuna jogoo aliwika kwenye redio basi na jogoo wa hapa home akapokea na akawa anawika ifikapo majira yale ya mchezo wa redio..
Kitu cha kufanya ni kutafuta jogoo mwingine ili atakapowika waende sawa... ha ha ha haaaaa, gari mbovu huvutwa na nzima
Kwahiyo wewe unafugia kuku sebuleni? Au mabanda ya kuku yapo unapolala na kusikilizia radio? Maana kama mjasiriamali unatakiwa kuwa na kuku wengi so lazima wajengewe sehemu tofauti mbali kidogo na unapolala.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom