Msaada TALLY ERP 9!!

Msaada TALLY ERP 9!!

Abuu Saad

Member
Joined
May 19, 2017
Posts
94
Reaction score
139
Habari wanaJF.
Nafanya tally erp 9 configuration katika ishu zangu lakini NIMESHINDWA NA BADO SIJAFAHAMU NAMNA YA KUFIX NUMBER OF ITEM PER PAGE WAKATI WA KUPRINT.
MAANA KUNA WAKATI INAPRINT ITEMS KUMI NA TISA KWA KARATASI MOJA LAKINI WAKATI MWINGINE ITEM ZAWEZA KUWA KUMI NA TANO ZIKAPRINT KWENYE PAGE MBILI : MSAADA TAFADHALI.
 
Back
Top Bottom