Msaada: Tafsiri ya Ndoto hii

proskaeur

JF-Expert Member
Mar 8, 2017
1,562
4,899
Wakuu kwema!!

Kwanza kabisa mimi si muumini wa ndoto, huwa naamini ndoto ni reflection (marejeo) ya yale ninayoyawaza sana ndio yanakuja kwa njia ya ndoto kama marejeo

Ila kwa hii niliyoota siku kadhaa zilizopita imenifanya kufikiria zaidi

Niliota mama Samia, Mheshimiwa Rais amenipatia nyaraka fulani aliyosema ni ya siri, hivyo niitunze na nisimuoneshe mtu yeyote mpaka atakapoihitaji tena yeye mwenyewe

Mazingira ya tulipokutania ilikuwa ni kama anafanya mkutano wa hadhara maana kulikuwa na watu wengi eneo lile

Imenifanya nifikirie nini maana ya ndoto hii, ukitegemea kuwa mimi si mtu wa kitengo wala sifanyi kazi katika sekta nyeti za serikali kwani mimi ni Jobless tu ninayetafuta kazi na kuhangaika na biashara ndogo ndogo

Hivyo ndugu zangu, kwa anayejua tafsiri ya ndoto anisaidie ili atleast nipate mwanga kidogo

Ahsante!!!!
 
Kwako Rais aweza kuwa ni mzazi au yeyote mkubwa kwako huko home.

Nyaraka hiyo yaweza kuwa mali au amana unayoweza pewa na huyo elder kwenu.

Fuatilia labda mzee wako ataka aseme lolote na wewe maana now days we are going with no more notice.

Anyway nawahi kiti cha mbele mbele
 
Asante sana Mamndenyi, mwanga mzuri umenipa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom