U UDSM Alumni JF-Expert Member Joined Jan 25, 2015 Posts 2,562 Reaction score 1,393 Nov 23, 2015 #1 Wakuu nimepoteza lain yangu ya tigo nasina kitambulisho nilicho sajilia nawezaje kuiludisha.
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,254 Reaction score 44,363 Nov 23, 2015 #2 Bwanshe56 said: Wakuu nimepoteza lain yangu ya tigo nasina kitambulisho nilicho sajilia nawezaje kuiludisha. Click to expand... Sio lazima ulichosajilia tumia chengine chochote ila kiwe cha kwako. Kama huna kabisa katoe taarifa polisi wakupe karatasi ya kuthibitisha umepoteza vitambulisho then tumia hio karatasi kusajilia.
Bwanshe56 said: Wakuu nimepoteza lain yangu ya tigo nasina kitambulisho nilicho sajilia nawezaje kuiludisha. Click to expand... Sio lazima ulichosajilia tumia chengine chochote ila kiwe cha kwako. Kama huna kabisa katoe taarifa polisi wakupe karatasi ya kuthibitisha umepoteza vitambulisho then tumia hio karatasi kusajilia.
U UDSM Alumni JF-Expert Member Joined Jan 25, 2015 Posts 2,562 Reaction score 1,393 Nov 24, 2015 Thread starter #3 Chief-Mkwawa said: Sio lazima ulichosajilia tumia chengine chochote ila kiwe cha kwako. Kama huna kabisa katoe taarifa polisi wakupe karatasi ya kuthibitisha umepoteza vitambulisho then tumia hio karatasi kusajilia. Click to expand... asante mkuu
Chief-Mkwawa said: Sio lazima ulichosajilia tumia chengine chochote ila kiwe cha kwako. Kama huna kabisa katoe taarifa polisi wakupe karatasi ya kuthibitisha umepoteza vitambulisho then tumia hio karatasi kusajilia. Click to expand... asante mkuu