msaada tafadhari! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada tafadhari!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Kahema, Oct 17, 2011.

 1. Kahema

  Kahema JF-Expert Member

  #1
  Oct 17, 2011
  Joined: May 21, 2010
  Messages: 202
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  ndugu zangu, nimehamia dar hivi karibuni. nina mtoto wangu alikua anasoma darasa la kwanza. tafadhari mwenye kujua shule nzuri hapa mjini namaanisha shule binafsi anisaidie, kama hutajari nivizuri nikajua pia na gharama zao kwa mwaka. asanteni.
   
 2. prakatatumba

  prakatatumba JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2011
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,337
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Boarding au day?
   
 3. G

  Gavanor Member

  #3
  Oct 17, 2011
  Joined: Oct 15, 2011
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tanganyika international school.
   
 4. nyambari

  nyambari JF-Expert Member

  #4
  Oct 17, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 325
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 45
  Tusiime
   
 5. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #5
  Oct 17, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,261
  Trophy Points: 280
  ameomba na gharama zake,usimfanyie hiana,lol
   
 6. H

  HAMY-D JF-Expert Member

  #6
  Oct 17, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 6,825
  Likes Received: 710
  Trophy Points: 280
  Tanganyika international ada ni mil 11 kwa miezi 9.Nakushauri umpeleke hapa maana ni shule ambayo inafaa kwa mtoto kusoma ukizingatia na hii globalized world.
   
 7. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #7
  Oct 17, 2011
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,919
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  unamaanisha milioni 11???
   
 8. samilakadunda

  samilakadunda JF-Expert Member

  #8
  Oct 17, 2011
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 1,701
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  kaa mkuu pensheni ya mtu alie pigakazi miaka 40 duh,sina swali!
   
 9. Nguchiro

  Nguchiro JF-Expert Member

  #9
  Oct 17, 2011
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 365
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Sishauri mkuu hata kama private, wamekaa kibiashara zaidi si kielimu,ada ya shule ya msingi kama ya Masters
   
 10. Nguchiro

  Nguchiro JF-Expert Member

  #10
  Oct 17, 2011
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 365
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hapo dogo anakuwa angonga PHD ama?
   
 11. Nguchiro

  Nguchiro JF-Expert Member

  #11
  Oct 17, 2011
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 365
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Ila mkuu aliyeandika hii thread anatutega na matokeo yake hatafanikiwa katika lengo lake,aseme ana kiasi gani,sio tumtajie shule ya millions kumbe ana laki 5, pia anataka boarding au day?kuwa wazi mkuu uwezo wako wa kujikuna umeishia wapi?
   
 12. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #12
  Oct 18, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  mnh....................ni kweli elimu nzuri lakiiiini
   
 13. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #13
  Oct 18, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,903
  Likes Received: 5,365
  Trophy Points: 280
  makurumla shule ya msingi,.ipo mwembechai,..tumesomea hapo na tumefaulu mpaka chuo kikuu..
   
 14. Kahema

  Kahema JF-Expert Member

  #14
  Oct 19, 2011
  Joined: May 21, 2010
  Messages: 202
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  samahani mkuu, namaanisha day school na ada isiyozidi laki 7 kwa mwaka.
   
Loading...