Amani na iwe kwenu wana ukumbi...
Hali yote nimshukuru mwenyezi mungu mwingi wa rehema kwa kuniwezesha kuandika hiki.
Naomba msaada kwa anaye kifahamu chuo cha kilimo na mifugo (LITA -TENGERU ARUSHA)
Kwa mambo yafuatayo
Sehemu kilipo kutoka Mjini arusha
mazingira hali ya hewa
ada zao kwa kozi za certficate
Nawashilisha#