almost zinafanana, zinatumia soc moja. angalia tu mambo mengine kama storage/ram/ukubwa wa kioo etc.Gr5 ni ya mwaka 2017 na hiyo Gr3 pia ni ya mwaka 2017 mkuu
Asante sana mkuu kwa maelezo hayo inaonesha ni vyema nikanunuwa Gr5almost zinafanana, zinatumia soc moja. angalia tu mambo mengine kama storage/ram/ukubwa wa kioo etc.
hio gr5 kioo chake ni kikubwa 5.5 wakati gr3 ni kidogo 5.2. configuration za ram na storage ni nyingi.
Kati gr5 na gr3 2017 kali ni gr3 na ndio natumia.... Ipo gud slim alafu kila kitu ni iphone mule mule
me mara ya mwisho ilikuwa 690 kama sikoseiHv hz gr5 shop zinaendaje sahv?