Msaada tafadhari. Ipi njia rahisi ya kuflash simu za mkononi?

tizo1

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
856
145
Wataalam hamjambo?Nahitaji kuanzisha biashara ya kuflash simu za za mchina na Nokia original.Je ninunue nini na nini kutimiza malengo yangu?je vifaa vinavyohitajika ni kwa gharama gani?Computer ninayo na ninatumia kwa matengenezo madogo madogo ya simu.MSAADA JAMANI HIYO KITU INALIPA SANA HUKU KWETU TABORA
 
Tafadhali jaman naombeni msaada!Sina pa kuuliza zaid YA JF
 
kwa nokia tafuta usb data cable za aina zote za nokia na software ya kuflashia inaitwa phoenix na nyingine inaitwa navifirm ni kwa ajili ya ku download firmware za hzo model za nokia.
 
  • Thanks
Reactions: SIM
kwa nokia tafuta usb data cable za aina zote za nokia na software ya kuflashia inaitwa phoenix na nyingine inaitwa navifirm ni kwa ajili ya ku download firmware za hzo model za nokia.
bonge la ushauri. napendelea jaf loader zaidi ya phoeniz, ila to each his own
 
Wataalam hamjambo?Nahitaji kuanzisha biashara ya kuflash simu za za mchina na Nokia original.Je ninunue nini na nini kutimiza malengo yangu?je vifaa vinavyohitajika ni kwa gharama gani?Computer ninayo na ninatumia kwa matengenezo madogo madogo ya simu.MSAADA JAMANI HIYO KITU INALIPA SANA HUKU KWETU TABORA

Pamoja na majibu mazuri ya wadau humu lakini nimegiundua hili swali ulishauliza hapa jamvini tarehe 03 May 2011 na ulipata majibu mazuri sana.
 
kweli niliuliza lakini nimeshindwa kuipata hiyo post ya zamani mkuu.Pia nilikwama kutekeleza maazimio yangu kwa wakati ule!ASANTE MKUUj
 
Back
Top Bottom