Mshobaa JF-Expert Member Joined Apr 7, 2013 Posts 1,722 Reaction score 692 Jan 20, 2014 #1 Ni kuhusiana na simu yangu ya nokia c3 kila nikifungua program ya game inajizima yenyewe na kujiwasha nilikua naomba kama kuna mwenye ufahamu wowote anisaidie tafadhali
Ni kuhusiana na simu yangu ya nokia c3 kila nikifungua program ya game inajizima yenyewe na kujiwasha nilikua naomba kama kuna mwenye ufahamu wowote anisaidie tafadhali