Msaada tafadhalin hili linawezekana


H

Halima james

Member
Joined
Jun 3, 2013
Messages
32
Likes
1
Points
0
H

Halima james

Member
Joined Jun 3, 2013
32 1 0
Mim nlihitimu kidatu cha nne 2010 na nkapata c5 na d 1 ckwenda advance. bt nlisoma diploma ya nta in financial administration nmemalza mwaka huu. so nataka kuomba degree bt nataka nsome economics in project planning ya mzumbe, nna gpa ya 3.2 je inawezekana? na vp mkopo.bt nna f ya math form4
 
M

Mshirazy

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2013
Messages
421
Likes
4
Points
0
M

Mshirazy

JF-Expert Member
Joined Mar 21, 2013
421 4 0
Angalia kwenye prospectus ya chuo husika ili uone km unavyo vigezo au la!!humu Jf usikutegemee sn kwa ushauri,wengine huwapotosha watu tu!!
 
H

Halima james

Member
Joined
Jun 3, 2013
Messages
32
Likes
1
Points
0
H

Halima james

Member
Joined Jun 3, 2013
32 1 0
Bt nmeangalia imeandikwa related field je yangu imerelate na hio course?
 
Baraka Roman

Baraka Roman

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2013
Messages
693
Likes
8
Points
0
Baraka Roman

Baraka Roman

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2013
693 8 0
Bt nmeangalia imeandikwa related field je yangu imerelate na hio course?
Kama imelirate na kolfication zako basi unavigezo.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
H

Halima james

Member
Joined
Jun 3, 2013
Messages
32
Likes
1
Points
0
H

Halima james

Member
Joined Jun 3, 2013
32 1 0
Yani ndo cjui km a/c na hio economics p. planning imerelate na je hiyo f haitoathiri.
 
nkowosi

nkowosi

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Messages
464
Likes
328
Points
80
nkowosi

nkowosi

JF-Expert Member
Joined May 7, 2013
464 328 80
Angalia kwenye kitabu cha tcu uone vigezo vyake lakn unaweza ukasoma
 

Forum statistics

Threads 1,275,220
Members 490,932
Posts 30,536,052