Me bado nipo pale udsm na kwa uzoefu wangu transfer za course huwa zinafanyika wiki mbili za mwanzo tangu tarehe rasmi ya kuanza mwaka wa masomo ambayo kwa mwaka 2015-2016 ni tarehe 9 november. Sababu mbili kubwa ambazo zitasaidia transfer yako kufanikiwa kwa urahisi ni kua hizo kozi zote zipo ndani ya college moja, lakini pia wanafunzi wa BAED(ba with education) wanahitajika sana chuoni, hivyo ni furaha ya chuo kuona mtu anataka kuhamia baed. na zaidi sana baed inachukua wanafunzi zaidi ya 1000 kila mwaka. So kua na amani mkuu, una asilimia 99 ya kufanikiwa katika hilo, cha msingi fanya admission mapema na omba hiyo transfer ya kozi kwa wakati. Ni hayo tu