msaada tafadhali

Speaker

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
6,324
2,233
Jamani,
Natumia operating system mbili windows 7 na ubuntu 10.04!
Nataka kutoa ubuntu 10.04.
Je kuna jinsi naweza kuiondoa bila kulazimika kuinstall upya windows?

Nimekuwa nikifanya hivi mara nyingi ila kwa option ya kuformat kabisa then naweka windows which i guess is too local
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom