Wanajamii Poleni sana na mishe mishe za kila siku, Ninachowaomba waungwana hapa ni aina gani ya rangi ambayo naweza kupaka ndani ya nyumba ikawa na mvuto ( decent color) maana ninavyojua ni kwamba color unayopaka at least inatakiwa imatch na Tiles utakazotumia sasa jamani mie kwenye kuchagua rangi hususani ya nyumba ni mweupe kabisaaaaaaa....
Nawatakia kampeni njema...