Msaada tafadhali

Msaada tafadhali

kinauche

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
7,681
Reaction score
2,219
Habari wana jamii wenzangu, nina shida naomba msaada wenu, ninatumia samsung galaxy s4 lakini napata shida sioni option ya ku reply kwenye topic za humu ndani, nifanye nini ili niweze ku reply humu ndani?
 
Unatumia application ya jamiiForums au ?
 
usipate tabu.... ukitaka kureply topic we hold hapo hapo kwenye topic yenyewe....thn itakuja hiyo reply....
 
ni kwamba kwenye galaxy 3 mwisho wa kila page kuna option ya kujibu post na hata kama unataka ku-quote bado unaweza kufanya hivyo kwa kukandamiza ile post. lakini siyo kwa 4 &5.
 
Back
Top Bottom