Msaada tafadhali !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Msaada tafadhali !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Ndeye

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2013
Posts
214
Reaction score
82
Habari zenu wana jf na MMU kwa ujumla.

Tafadhali naomba mnisaidie na mnifahamishe Chuo/Driving School inayotambulika kwa Jiji la DSM. na kama unajua na gharama zake itanisaidia/rahisishia zaidi. Pls help.

Nawasilisha Ahsante.
 
Veta ni kizuri...ila gharama zake sizijui
 
Kama unaishi D'slam maeneo ya Mwenge na viunga vya karibu....fika;

Mlimani Driving School...Mwenge (Lufungira)

Bei: 200,000 hadi 250,000.

Muda wa mafunzo ni wiki 4, na ni siku 6 kwa kila wiki.
 
Victoria Driving School iko Magomeni na Victoria...150,000/= full course.
Licence unaongezea 50,000/=
Hvo laki 2 wapata na leseni kabisa.
Ukimaliza kozi...hata Marcopolo au Yutong waendesha,nini Verossa.
 
Kama unaishi D'slam maeneo ya Mwenge na viunga vya karibu....fika;

Mlimani Driving School...Mwenge (Lufungira)

Bei: 200,000 hadi 250,000.

Muda wa mafunzo ni wiki 4, na ni siku 6 kwa kila wiki.

Ahsante sana Mkuu.
 
Kama hutojali mimi naweza kukufunza gari kwa bei ya maongezi lakini ni kila mwisho wa wiki...

Ha ha ha basi niambie garama zako naweza kukubali unifundishe wewe mkuu.
 
teh teh...mimi pia nakusalimia shem hebu nipigie upatu basi tule mingo hii...tutakuwa tunakupitia hapo kwenda wote mazoezini.

Usijali, mie tena.
Ndeye, shemeji yangu watu8 mpe hiyo tenda.
Ni dereva mzuri.
Anajua kucheza na gia.
Iwe Auto au Manual.
Mazoezi nimeshaanza, labda uwe waja nifata.
 
Last edited by a moderator:
Victoria Driving School iko Magomeni na Victoria...150,000/= full course.
Licence unaongezea 50,000/=
Hvo laki 2 wapata na leseni kabisa.
Ukimaliza kozi...hata Marcopolo au Yutong waendesha,nini Verossa.


Daah!!! ahsante sana
 
Ha ha ha basi niambie garama zako naweza kukubali unifundishe wewe mkuu.

Niambie PM wakaa maeneo gani...usijekuwa mkazi wa Kimanzicha - Kisarawe halafu mission ikawa impossible.
 
Kwa DSM hakuna driving school nzuri! Kma unataka uwe safi driving nenda CONGO mji wa GOMMA kuna driving xchool nzuri sana mpaka VIFARU JESHI utaendesha mkuu...all the best
 
Back
Top Bottom