Msaada tafadhali

Msaada tafadhali

usiniguse

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
1,725
Reaction score
1,194
Nimepata tatizo kuunganisha net simu ya LG F100L .Pia naomba nijue kama ni ya china au la

Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums
 
Tatizo gani mkuu unalopata wewe? i mean umefanya nini?
 
Kwanza nimeuziwa simu na jamaa katoka nayo korea lakini haikubali kufungua net natumia aitel

Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums
 
Pili natakakujua kama ni mchina

Back
Top Bottom