Nenda kwenye start->control panel->programs->programs and features then click hiyo antivirus yako pale chini mwa ukurasa pataandikwa version no yake chukua hiyo version number. Tafuta kuna kampuni zinahusika na maswala ya antivirus kwa norton utapewa activation code ni number kwa yako sijui kama ni ya mtumiaji mmoja au vipi wao wanajua.Sema uko wapi wadau watakutajia kampuni zinazohusika na antivirus business cha muhimu uwe na pesa ya kununulia.
Wapendwa,habari za usiku huu? Naomba msaada namna ya ku-renew ant virus katika lap top yangu. Aina ya ant-virus ninaotumia ni norton na inaishia mwishoni mwa juma lijalo. Tafadhali naomba msaada wenu namna ya kurenew.