Msaada tafadhali

Msaada tafadhali

Chocs

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
8,447
Reaction score
4,842
Habari,
Ninapokua natumia PC (DELL) ghafla kila kitu kinapotea then yanakuja maandishi( preparing to configure windows.. Do not turn off your computer) tatizo ni nini na nafwata njia sahihi za kuwasha na kuzima?
 
unatumia windows 7 kama sijakosea. ulichofanya au hujafanya (lol) ni kuacha windows ifanye automatic updates. kila uki connect kwenye internet, windows inashusha updates kadhaa na kurestart mashine yako bila idhini yako (very annoying habit ya MSN ya miaka yote). kuepuka usumbufu na kusave bundle yako, bonyeza pale kwenye start button alafu uandike "updates" bila quotation marks. depending na software zilizopo kwenye computer yako, utaona programs kadhaa, ila ufungue iliyoandika *Windows Update*. mle mle ndani ya Windows Update, chagua *Change settings*. kwenye window mpya utaona pameandikwa *important updates* na *install updates automatically (recommended)*. click hiyo install updates na uchague *check for updates and let me to choose whether to install them or not*. click OK na kazi tayari. restart mashine na enjoy.. regards, leh
 
Last edited by a moderator:
Sante leh, ngoja nifanye hivyo japo si mtaalam saaana wa mambo haya
 
Nimeishia kwenye install update automatically recommended nimekwma.....................
 
mia mia Chocs. ukikwama just reply, nitatoa suluhisho
 
Last edited by a moderator:
ok, ni hivi, hapo walipoandika *install automatic updates* uclick itakuangushia drop down menu kama ya JF ukipata like mpya au quote. ndo ikishusha uclick on *check for updates and let me to choose whether to install them or not*.

2hy7wja.jpg

umefanikiwa Chocs?
 
Last edited by a moderator:
Ngoja nafanya af ntakwambia

nashukuru sana mkuu hata mm imenisaidia. swal kidogo mkuu, nimeona inadowload 739MB na bando langu n 50MB JE ITAWEZA KUKAMILISHA KUDOWNLOAD MKUU? msada tafadhal.
 
Hapana ndugu kwani file size ni 739MB na bandle lako ni 50MB,haiwezekani unaupungufu wa 689MB
 
kwhy haiwezekan kufanya update ukiwa ofline msaada tafadhali.
 
Back
Top Bottom