Kuchasoni Kuchawangu JF-Expert Member Joined Aug 21, 2012 Posts 623 Reaction score 378 Oct 30, 2012 #1 Ninatumia simu aina ya Nokia Asha 200 lakini nikijaribu ku submit reply ujumbe niliouweka hauonekani.Lakini nireply post ya mtu ujumbe unaonekana.Hiyo submit reply inakuwa kwa chini mwisho kabisa mwa thred husika.Naombeni msaada tafadhali.
Ninatumia simu aina ya Nokia Asha 200 lakini nikijaribu ku submit reply ujumbe niliouweka hauonekani.Lakini nireply post ya mtu ujumbe unaonekana.Hiyo submit reply inakuwa kwa chini mwisho kabisa mwa thred husika.Naombeni msaada tafadhali.