Msaada tafadhali

Twaps

Member
May 26, 2011
50
28
Nimemaliza chuo mwaka jana Ba. Business Administration nipo kwenye kampuni moja changa nafanya tempo ila wakati natafuta kazi sehemu nyingine mpaka sasa sijafanikiwa.Naomba ushauri ni sehemu gani nikaombe intership ili angalau nipate experience na iwe sehemu ambayo ni rahisi kwangu kuajiriwa kwani ninafanya kazi kuliko kawaida naamini watatamani kuniajiri.Makazi yangu ni Dar na ninahitaji kufanya kazi Dar.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom