Msaada Tafadhali!!

Mpigaji

JF-Expert Member
Feb 6, 2011
384
42
Wana JF nisaidieni kutambua hii namba imekuwa ikiita katika simu yangu tangu jana!+971557728641
 
Kama namba imekuwa ikiita si ungepokea na kuuliza wee nani, uko wapi? Kama alibip si ungemuuliza kwa sms? Au ulidhani ni freemason? Au ulihofia ataongea lugha gani? "Usiope ukubwa wa samaki, uliza bei"
 
credit ya kubeep tu,nimpigie na kumwuliza?nimemuuliza,nani wewe?simu imekata!isijekuwa namba za kule mbeya,ukipokea una dead!
 
Back
Top Bottom