Msaada tafadhali

Alishakufanyia mengi sema ulikuwa bado na upofu wa mapnz ndio maana hukuelewa,
Alichokifanya nikukupa live ili uelewe haraka na usepe umwachie nafasi,
Haya mapnz haya sijui mwalimu wake ni nani,bora umejiondokea tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom