Msaada Tafadhali

Msaada Tafadhali

Maana yake ujiongeze,tayari ana mtu anayempa asilimia 99
 
Tatizo nyie wa siku hizi vitu vya face to face hamjazoea... Ha ha ha wengi wenu huwa mna babaika sana na kutetemeka
Binafsi face to face napenda nakuchana live bila kupepesa macho hakuna kuogopa.
 
Hapa ndo tunakwama wanaume daah

Mademu kibao hawa ww unasumbuliwa na mnuka mkojo mmoja
 
Mm nina mke na michepuko kama 5 hivi

Na mengine inajua wazi kama nina mke na bado imekomaa kua spares wewe unakwama wapi ndugu

Haya madege tumeletewa tujilie tu

Yaani hapa mimi nasubirishwa kama jamaa mleta thread.

Itabidi nijitafakari.
 
Ukiwa kinganganizi sana wanakuona boya aisee

We jaribu kua smart na maamuz yko usikubal kupelekesha kihisia

Bila ivyo utakua kma mbwa aliowekwa mnyororo shingoni na kuanza kuburuzwa
Nimenote hii
 
Back
Top Bottom