Msaada Tafadhali

Msaada Tafadhali

ryana fan

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2018
Posts
2,632
Reaction score
3,063
Nawasalimu.....!!!

Baada ya salamu. Nijikite moja kwa moja kwenye mada.

Kuna binti mmoja mzuri sana imetokea kumpenda Sana. Kila nikimpiga simu naambiwa Subiri nitakutafuta baadae, lakini baadae sitafutwi ana maana gani?

Naombeni ushauri aiseee
 
Fanya kama unampuuza, usiwe hata na habari nae. Siku akiwa na shida ya pesa atakutafuta tu.
 
Huyo anakufanyia unyanyasaji wa kijinsia, nenda karipoti kituo cha polisi kilicho karibu nawe.
 
Ana mtu wake ila hata wewe anakupenda, au hakupendi ila anaogopa kukwambia ukweli kwasababu ameshakula vyako vingi sana.
 
Back
Top Bottom