Msaada tafadhali

Msaada tafadhali

sawee225

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2017
Posts
3,227
Reaction score
12,126
Wakuu pc yangu imezima ghafla tangu juzi na nimejaribu kuangaika na betri ila naona aijazaa matunda nafkiria kushusha window ila pia kuna mtu kaniambia ingekua ni window power ingekuwa inawaka...apo ndo kidogo nimechoka ikabidi nije kuulizia wajuvi umi mnisaidie

Pc ni dell

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiwasha inatoa dalili gani? Aitoi sauti hata kidogo?
 
Back
Top Bottom