habari wana jukwaa faida(jf). Naomba kama kuna member mwenye PROPOSAL WRITING SOFTWARE anisaidie. au anielekeze sehemu ninapoweza kuipata. weekend njema.
habari wana jukwaa faida(jf). Naomba kama kuna member mwenye PROPOSAL WRITING SOFTWARE anisaidie. au anielekeze sehemu ninapoweza kuipata. weekend njema.
word processer is time consuming. Siku hizi maisha yamekuwa rahisi sana huitaji kukaa kwenye computer muda wotee huo unahitaji pia muda wa kufanya mabo mengine. Zipo ila nilizoziona ni za kulipia mkuu!!!!!! Na mimi sipendi hasara. Ha ha ha