ni video converter ina option nyingi za output kama bitrate, fps, hizo pal etc unachagua mwenyewe unataka output iwe vipi.Nifahamishe kuhusu hii mkuu
Mkuu nashukuru, japo nimekutana na kikwazo hapo wakati wa installation. inasema The .NET framework 4.6 is not supported on this operating system. Najaribu kutafuta ufumbuzi ndio niendeleeni video converter ina option nyingi za output kama bitrate, fps, hizo pal etc unachagua mwenyewe unataka output iwe vipi.
google tu handbrake ni software ya bure
unatumia os gani?Mkuu nashukuru, japo nimekutana na kikwazo hapo wakati wa installation. inasema The .NET framework 4.6 is not supported on this operating system. Najaribu kutafuta ufumbuzi ndio niendelee
kabla ya kwenda software nyengine win 7 yako ni service pack 1? maana hio .net wameandika kabisa sp1,Naona bado imenigomea. Pengine nifanye mawili; ku update OS kwenda 10 au kama kutakuwa na alternative ya software nyingine.
Hapana. Nilisoma maelezo kuwa chini wa windows edition kama hiyo sp1 haipo basi ufungulie windows update. Maelezo sikuyaelewa vyema. Naipataje hiyo sp1?kabla ya kwenda software nyengine win 7 yako ni service pack 1? maana hio .net wameandika kabisa sp1,
una update pc tu itakuja yenyewe automatic, ila kama ulifunga updates jiandae gb kadhaa za internet kufanya hio update.Hapana. Nilisoma maelezo kuwa chini wa windows edition kama hiyo sp1 haipo basi ufungulie windows update. Maelezo sikuyaelewa vyema. Naipataje hiyo sp1?
Duh! Nilifunga updates kitambo kweli. Ngoja nikafanye hivyo. Nashukuru kwa maelezo yako, mkuuuna update pc tu itakuja yenyewe automatic, ila kama ulifunga updates jiandae gb kadhaa za internet kufanya hio update.
nenda control panel halafu system and security utaona windows update