bintishomvi JF-Expert Member Mar 21, 2015 1,164 832 Sep 6, 2016 #1 Naomba wajuzi wanielekeze kutumia email nikituma jumbe inaenda na neno la siri
bintishomvi JF-Expert Member Mar 21, 2015 1,164 832 Sep 6, 2016 Thread starter #4 Mbona mwaguna au sijaeleweka ni hivi nikimtumia mtu ujumbe kwenye email yangu kwenda kwa mtu inaenda na neno la siri la kufungulia email yangu
Mbona mwaguna au sijaeleweka ni hivi nikimtumia mtu ujumbe kwenye email yangu kwenda kwa mtu inaenda na neno la siri la kufungulia email yangu
nkanga chief JF-Expert Member May 31, 2016 2,084 1,620 Sep 6, 2016 #5 bintishomvi said: Mbona mwaguna au sijaeleweka ni hivi nikimtumia mtu ujumbe kwenye email yangu kwenda kwa mtu inaenda na neno la siri la kufungulia email yangu Click to expand... SIJAWAHI KUONA HII HIYO EMAIL NI YAHOO AU GMAIL
bintishomvi said: Mbona mwaguna au sijaeleweka ni hivi nikimtumia mtu ujumbe kwenye email yangu kwenda kwa mtu inaenda na neno la siri la kufungulia email yangu Click to expand... SIJAWAHI KUONA HII HIYO EMAIL NI YAHOO AU GMAIL
bintishomvi JF-Expert Member Mar 21, 2015 1,164 832 Sep 6, 2016 Thread starter #6 Gmail , au inaoneka kwenye display tu kwake aifiki Nina hofu nimemwaga unga wangu nitashinda njaa mshua akisoma akijua kufungu account yangu mmm!
Gmail , au inaoneka kwenye display tu kwake aifiki Nina hofu nimemwaga unga wangu nitashinda njaa mshua akisoma akijua kufungu account yangu mmm!
bintishomvi JF-Expert Member Mar 21, 2015 1,164 832 Sep 6, 2016 Thread starter #8 Naona nimeshindwa kujieleza vizuri wameshindwa kunielewa
Babu Kijiwe JF-Expert Member Mar 31, 2010 4,762 4,576 Oct 19, 2016 #9 bintishomvi said: Gmail , au inaoneka kwenye display tu kwake aifiki Nina hofu nimemwaga unga wangu nitashinda njaa mshua akisoma akijua kufungu account yangu mmm! Click to expand... Utakuwa umeiweka kama Signature
bintishomvi said: Gmail , au inaoneka kwenye display tu kwake aifiki Nina hofu nimemwaga unga wangu nitashinda njaa mshua akisoma akijua kufungu account yangu mmm! Click to expand... Utakuwa umeiweka kama Signature
bintishomvi JF-Expert Member Mar 21, 2015 1,164 832 Oct 19, 2016 Thread starter #10 Kwahiyo nikutuma email ninaemtumia anaiona Mkuu?