M ms dimilion Member Joined Oct 24, 2015 Posts 15 Reaction score 1 May 6, 2016 #1 Kwa wakazi wa Mwanza,Mimi ni binti wa miaka 24.....Naomba kwa yeyote anaejua wapi naweza pata kibarua japo kwa siku iwe kiwandani au sehemu yoyote ile anijulishe,sibagui Kazi!Natanguliza shukrani
Kwa wakazi wa Mwanza,Mimi ni binti wa miaka 24.....Naomba kwa yeyote anaejua wapi naweza pata kibarua japo kwa siku iwe kiwandani au sehemu yoyote ile anijulishe,sibagui Kazi!Natanguliza shukrani