Msaada tafadhali

ihave solve my broblem
Sasa mkuu kama lilikuwa suala la technology ungeweka hapa hilo tatizo nakama ulifanikiwa kulitatua ungeweka hapa njia ulizotumia ili nasisi tukipata simila problem tuweze kupata urahisi.
tutakupa senkyuu
 
ok! Niliweka post my pc ilikuwa inashindwa ku load Admistrater account ilepost ilikaa muda haikupata majibu, lakini katika kubahatisha niliweka os cd win7 ikanipa option syestem restore kwa kupitia njia hiyo ikawa nimetatua tatizo langu.sasa nitaka ku idelete hii post lakini sikupata option ya ku delete nadhani kwa vile nimeipost kwa kutumia mobile, samahani kwa usumbufu na nawashukuru kwa nia yenu ya kutaka kunisaidia.
 
Back
Top Bottom