Msaada tafadhali wa vipodozi

Johne

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2013
Posts
328
Reaction score
78
Kwa anaejua mafuta mazuri ya nywele, ndevu, mafuta ya kupaka na body spray bila kujali bei anijuze ninayotumia nahisii yatamkera mchumba wangu mana nataka nikaonane nae mwezi ujao.
 
Ha ha........aisee........
Kwani unatumia YU........au ni Cobra. ......?
Nakushauri tumia Simla ni mazuri.......au Matador........
 
Ha ha........aisee........
Kwani unatumia YU........au ni Cobra. ......?
Nakushauri tumia Simla ni mazuri.......au Matador........

Daah io cobra umenikumbusha mbali sana, enzi izo boarding mnagongea dom zima, Kuna dawa ya mbu nyingine inaitwa brut.. Balaa
 
Kwa anaejua mafuta mazuri ya nywele, ndevu, mafuta ya kupaka na body spray bila kujali bei anijuze ninayotumia nahc yatamkera mchumba wangu mana nataka nikaonane nae mwezi ujao.

Mafuta ya nywele na ndevu jaribu haya



Body spray jaribu hizi...






Kama unataka na deodorant sema.
 
Huyo mchumba hamjawahi kuonana?

Au umepanda daraja unatafuta vya hadhi yako?
 
Mmmmmmmhhhhhhh..! Super dressing table mates wapo humu utaona tuu mi pictures ikiingia
 
Nyani Ngabu umeamua julist cologne za ulaya ulaya unajua bajeti ya mhitaji? vitu vya 3digit £ kwetu sie akina kifula mbute!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…