so vlc ukipata itakusaidia?
Hii version mpya 2.02
http://voxel.dl.sourceforge.net/project/vlc/2.0.2/win32/vlc-2.0.2-win32.exe
Shukurani Mkuu LD. Hata hivyo baada ya kuidown load, kila ninapoi-run inaniambia: This installation package could not be opened. Contact the application vendor to verify that this is a valid Windows Installation Package.
Asante Mkuu Chief Mkwawa Hii kila ninapojaribu kui-download kutoka kule store yetu haifiki mwisho na kuna wakati niliweza kuidownload MB 19 kati ya 23 zilizopo ikakatika na sina hakika kama unaweza kui-run kwenye comp nusu nusu!
Download na kuInstall NET Framework 3.5 Service pack 1 (full package) Afu ujaribu tena hiyo soft uliyopewa na LDShukurani Mkuu LD. Hata hivyo baada ya kuidown load, kila ninapoi-run inaniambia: This installation package could not be opened. Contact the application vendor to verify that this is a valid Windows Installation Package.
Hapa nafanyaje, naomba msaada tafadhali Mkuu.