ata kcmc hapati saivi kila chuo kinafuata vigezo vya TCU kama ilivyoAende kcmc kama uwezo wa fedha upo
wakimpitisha jina likifika TCU litakatwa tu kwa ndo maana wanazingatia vigezo vya tcuAende kcmc kama uwezo wa fedha upo
Alafu akimaliza aje kulima matikiti maji na vitunguu.akapige medical lab tu
kwa nini anasema hivyo,unamaanisha medical laboratory haina ajira?Alafu akimaliza aje kulima matikiti maji na vitunguu.
Hana c ya chemistry hapo,bado ni tatizo.akapige medical lab tu
Kwani ni lazima asome hapa shithole, hii nchi ni ya kipumbavata kcmc hapati saivi kila chuo kinafuata vigezo vya TCU kama ilivyo