Wanakuja mkuu baki hapa hapa; na Mungu akufanyie wepesi.Wakuu poleni na majukumu!
Moja kwa moja naomba msaada kuunganishwa na mafundi wanaodeal na Simu na Computer jijini Mwanza, ili niweze kujishikiza maana life limenikaba au kama kuna mtu anaweza kutudhamini mimi na jamaa yangu Tufungue ofisi ya kurepair simu na Computer hapa Mwanza.....vitu nilivyo navyo ni laptop,screw driver kit,Gun soldering iron, nina basic certificate short course ya vsomo upande wa simu....nilisoma hii course pia veta kipawa Muda kidogo....certificate ya IT...nilikuwa nafanya kazi ya mambo ya bima katika hospitali....sikuwahi fungua ofisi,
Kwa sasa nipo mtaani tena ugenini hapa Mwanza....msaada please!
0768195006.
Ukishasoma vsomo, practical unafanya wapi. Maana wameniambia practical is booked lakini hawajanipa tarehebasic certificate short course ya vsomo
Ok na kama umelipia online ukienda kule inakuwaje, kuna malipo ya ziada tenaUnachagua chuo Cha Veta Cha karibu yako,Mimi nilipata Veta Kipawa.
Hakuna kule unaenda kusoma tu,Ok na kama umelipia online ukienda kule inakuwaje, kuna malipo ya ziada tena
Kweli kabisa,nilifungua ofisi maeneo ya Igoma Mtaa wa kufika miti ya Nyerere nilisubiri sana wateja mpaka nikaamua kufunga,pale Lumumba wamejaa ukipita wanakuita Kama wapiga debe wa stendi,Kuna jamaa yangu Ana mshikaji wake Ni fundi pale wako wawili Ana kwambia kwa siku wanalaza 150k-200k sijui Kama Ina ukweli hii.Fundi simu na PC inahela sana ILA kwa mwanza labda uwe Town..unaona kule Lumumba mafundi hawakosi 50-100k kwa siku..ila huku mtaani National,Nyegezi,Buhongwa n.k yahitaji moyo
Unatoa ushauri gani kwa mwenye mtaji wa frame na vifaa maeneo ya mjini sehemu zipi ni nzuriFundi simu na PC inahela sana ILA kwa mwanza labda uwe Town..unaona kule Lumumba mafundi hawakosi 50-100k kwa siku..ila huku mtaani National,Nyegezi,Buhongwa n.k yahitaji moyo
Kama mtaji upo unatafta(Kilemba) tu kama ni Fundi simu na PC..Ingia mtaa wa Lumumba pale nashauri uuze vifaa pia kama vioo vya Samsung n.k mafundi wengi huenda Town kutafuta vifaa hivyoUnatoa ushauri gani kwa mwenye mtaji wa frame na vifaa maeneo ya mjini sehemu zipi ni nzuri
Kila ni niniKama mtaji upo unatafta(Kilemba) tu kama ni Fundi simu na PC..Ingia mtaa wa Lumumba pale nashauri uuze vifaa pia kama vioo vya Samsung n.k mafundi wengi huenda Town kutafuta vifaa hivyo
Kila ni nini? SijakuelewaKila ni nini
Kweli iyo town mafundi wanaingiza pesa..hao mawinga ndo wanasaidia zaidiKweli kabisa,nilifungua ofisi maeneo ya Igoma Mtaa wa kufika miti ya Nyerere nilisubiri sana wateja mpaka nikaamua kufunga,pale Lumumba wamejaa ukipita wanakuita Kama wapiga debe wa stendi,Kuna jamaa yangu Ana mshikaji wake Ni fundi pale wako wawili Ana kwambia kwa siku wanalaza 150k-200k sijui Kama Ina ukweli hii.
HapanaWewe upo National?
KilembaKila ni nini? Sijakuelewa