Msaada Tafadhali UDSM Step3

Masiya

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
7,602
Reaction score
7,344
Wakuu tumekwama. Baada ya kulipa step 2 kijana anaingia step3 Academic qualifications. Akiweka either O level na index namba yake au A level na index namba yake anaambiwa "Names of this Index# do not match with names registered in your profile". Amecheck mara mbili mbili haoni kosa kwenye profile yake na index namba zake. Afanyaje?
 
Ukilog in kwenye akaunti kuna maelezo wametoa kwamba hilo tatizo ni kwa wote na linashughulikiwa!

Just make sure your details are correct.

- KANA -
 
Juzi nilisumbuka sana hatimaye jana nikafanikisha application
 
Hujakosea ila tu utakuwa umerisk nafasi yako incase kozi hiyo ikapata ushindani mkubwa.
Mkuu ukimaliza kuomba.Kuna sehemu unasabmit?.Au unaacha hivo hivo bila kusubmit?.Maana mie sion sehemu ya submit.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…