Msaada tafadhali:toshiba 40" lcd screen connection to pc via vga

King Kong III

Platinum Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
62,765
Reaction score
94,793
Habari JF,

Naomba mnisadie jinsi ya kufanya,nikiconnect TV 40" as Monitor huwa haionyeshi full screen,inaonyesha inusu(Juu na chini,kama 28" ndo inaonekana) zisipati zote 40",Nimejaribu kuchange resolution yake na aspect ratio 4:3 bila mafanikio,Naomba mnijuze nifanye nini ili niweze ku-enjoy movie in FUll Screen?

Thanks.
 
settings zake unacheza na pc sio na lcd
 
Ok Mkuu nimejaribu kuchange resolution ya Screen(as monitor) lakini ipo vile vile au settings gani hizo unazozungumzia? thanks

settings zake unacheza na pc sio na lcd
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom