TECNO yangu P5 Ilizingua Ishu Kama Hiyo Mpaka Leo I Hate Tecno Bora NIkatumia Vodafone Tecno Wanachosha Aisee Hamna Kitu Na Ukickia Mtu anauza Ujue Yamemshinda
!
!
Ni lisaa la pili hili imeandika tu tecno halafu hakuna kinachoendelea. Nimefungua nyuma nitoe betri na kwenyewe kumefungwa betri kulitoa haiwezekani.
Naambatanisha na picha nikitumaini nitasaidiwa