Msaada Tafadhali Samsung Note II

Dexaquin

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2015
Posts
230
Reaction score
80
Wadau naombeni msaada katika simu sumsung note 2 mobile hotspot hafanyi kazi baada ya kuiflash.
Imekuwa ikigoma kuconnect katika pc.... imekuwa ikiniletea 'validatition error' nfanyaje hapo tafadhali?
Natanguliza shukran zangu kwenu!
 
mwanzo ilikua inapiga kazi fresh? ?

tumia third party app kama FoxFi

Hyo note two ni ya Verizon nn?
 
mwanzo ilikua inapiga kazi fresh? ?

tumia third party app kama FoxFi

Hyo note two ni ya Verizon nn?

Mwanzo ilikuwa fresh ila baada ya kuiflash akaweka vesion ya Verizon... ila nilivyoinunua haikuwa ya Verizon vesion
 
Mwanzo ilikuwa fresh ila baada ya kuiflash akaweka vesion ya Verizon... ila nilivyoinunua haikuwa ya Verizon vesion

aah basi rudisha ile ile international dk 0 tu mbona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…