MSAADA TAFADHALI: Nokia Asha 200 browser update ina'display 'conflicting apps'

Sultan Kipingo

JF-Expert Member
Mar 4, 2013
236
175
Wakuu,
nimeletewa new version ya Internet browser kwenye Nokia yangu Asha 200, lakini baada ya ku'update nikifungua inaniambia 'conflicting application' nikibofya kuonesha hzo conflicting apps zenyewe inaniambia 'Nokia Express'

Msaada tafadhali kama kuna mtu amewahi kukutana na tatizo hili kwani siwezi tena kutumia default browser zaidi natumia operamini & Uc browser ambazo hizi haziwezi kudownload baadhi ya files bila kuwepo default browser.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom